idrissultan idrissultan

3932 posts   1845843 followers   516 followings

Idris Sultan πŸ‡ΉπŸ‡Ώ  Hey am a genius but I can't prove it, give me more time | Twitter & Snapchat: Idrissultan

http://idrissultan.com/

πŸ˜’

Anguka mara saba nyanyuka mara nane πŸ˜‰πŸ’ͺ🏽.. cc: @paradisesalon.spatz #FreshDay #BodyRepair #Saloon #Spa #Beard #BeardGang #Tuesday #happyFace

Karibuni tena insta tumerudi

Happy birthday @madeeali

Ukiibuka kutoka chumvini alafu unamuuliza "Umesema ? Umeniita ?" Kumbe gia ni kukamata pumzi kidogo

Mambo ya jana πŸ˜‰πŸ˜‹#TambiBae #MoSpaghetti

Unaona hii pete ? Edward amenivalisha. .
.
Translator atafutwe apitiwe na noah nyeupe na asikilizishwe nyimbo za Zari mpaka aseme nani kamtuma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unakuta movie kali kabisa ila tafsiri imetekwa imetupwa mahaba beach kwenye dimbwi

Siri za jikoni kwa Idris πŸ‘ŒπŸ½πŸ˜‹.... .
.
(Ingredients)
- Mo Spaghetti
- Nyanya
- Pilipili hoho
- Karoti
- Giligilani
- Iliki
- Pilipili manga
- Mafuta ya kupikia
- Chumvi
- Maji
- Vitunguu
- Mayai
.
.
Nshawapiga somo la leo how I cook #MoSpaghetti kwahiyo hatudaiani 😊.. #TambiBae #MoSpaghetti #METL cc: @moh_amirhamza @moodewji @metlgroup

😩

Haya wenye mabahati yao Cheza BIKO ushinde buku 5 hadi Milioni 1 fastaaa. Kila tiketi inaingizwa kwenye droo ya wiki ambayo ni siku ya kesho Jumapili 23 Aprili na ushinde TZS 10,000,000.
Kucheza Biko:
1. Ingia kwenye Tigo Pesa, Mpesa au Airtel Money.
2. Chagua Lipia bili
3. Kisha Chagua Kuweka namba ya Kampuni ambayo ni 505050.
4.Kisha weka namba ya kumbukumbu 2456 ambayo ni sawa na neno BIKO
5. Weka kiasi unachotaka kucheza kuanzia TZS 1,000.

Nunua kwa mpigo ili kuongeza nafasi yako ya kushinda.

Kwa maelezo zaidi cheki ukurasa wa: @bikotanzania

#NguvuYaBUKU
#BIKOMSHIKONJENJE

Kesho nawapa simple steps za kupika #MoSpaghetti 🍝 ... Anyone can cook na hauhitaji hata maviungo mengi maana Spaghetti zenyewe tayari noma πŸ‘ŒπŸ½πŸ˜‹.. Bachelors na wadada msiojua kupika msijizungushe sasa somo la upishi la bure kesho. Ntaweka video mchana ili usiku mjipikilishe nawapa siri za jikoni kwangu. Cc: @moh_amirhamza @metlgroup #MOspaghetti #METL

follow this page in feedly

Most Popular Instagram Hashtags