ibramondplatnum ibramondplatnum

1,413 posts   10,680 followers   680 followings

WCB Wasafi  Worked Under WCB Wasafi DIGITAL DEPARTMENT Social Network Administrator WCB Wasafi ↕ WasafiDotCom

AS WE PROCEED TO GIVE YOU WHAT YOU NEED ... Mchongo huu hapa Ikiwa imebaki leo tuu kabla ya kukiwasha kesho pale CCM Kirumba kwenye #wasafifestival2018 .

Sasa Leo wajanja wote wa Rock City tunakutana JEMBE BEACH RESORT For the Pre Party ... .

Lets Party tonight Then kesho tuzame kwenye Mapinduzi ya Burudani 🔥🔥🔥 #HakunaNamna #HawaaminiWanachokiona #SanaaImezaliwaUpya

PROUDLY SPONSORED BY:
@Pepsi_tz @Resolutioninsurancetz @Supa_5 @ZSSFinsta @DiamondKaranga @Most_hired_international @hillwatertz @Startimestz @wcb_Wasafi @MBet.co.tz @jembenijembe  @kili_lager @CrystalCaveznz @DCBbanktz @GSMtanzania #WasafiMedia

#WasafiFestival2018 #MchezoUsiuchezeeWewe #Kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabisa #WasafiFM #KaaKitaalam #konkikonkikonkimasta

Mtu Kuna Majina Ukitaniwa Na Hilo Jina Ukawa Haulipendi Basi Usichukie Unapotaniwa, Maana Ukichukia Tu Hilo Jina Litasambaa Sana Maana Kila Mtu Atakuita Ili Unune Na Umaarufu Wa Hilo Jina Litaongezeka...
_
Yaani Kitendo Cha Wazee Wetu Kufungia Hii Nyimbo Wamefanya Hii Ngoma Ipendwe Mara 100,BASI WAZEE WETU WA BARAZA TOENI RUHSA ANGALAU PALE MWANZA TU KWENYE WIMBO WAO HII NYIMBO TUIPIGE....Ila @rayvanny Akili Zako Unazijuaga Mwenyewe😂😂...ALAFU SIMBA @diamondplatnumz MZUKA ULITAKA KUPANDA GHAFLA UKASHUKA

HAPPY BELATED @melanin_merry_dee ISHI MIAKA MINGI BEST VIDEO VIXEN IN TOWN

ZANZIBAR!!! ZANZIBAR!!! HAYA TUKUTANE CHAZA KWENYE POOL PARTY NOW!!! Ni Kujiweka Sawa Kabla Balaa Lenyewe Hapo Kesho

Siku Zote Ukifika Visiwani Zanzibar .. Usihofu Kuhusu Swala la Malazi na Sehemu ya Kutulia Kabla ya Kuingia Kuanza Kufanya Shughuli zako Mjini

Hakikisha Unafika @hotelverde_znz Kwani ni ya Kimataifa Yenye Vigezo Vyote Vinavyotambulika Yaani 🌟🌟🌟🌟🌟 Hotel

Sehemu Mbalimbali za Kimichezo Kwa Wakubwa na Watoto, Vyakula Vinavyopikwa Kwa Ustadi Mkubwa na Eneo Zuri Kwa Ajili ya Malazi, Bila Kusahau Eneo la Kufurahi Wewe Pamoja na Familia au Watu wako wa Karibu Kwa Muda Wote Utakaokuwa Hapa

@hotelverde_znz Ndio Sehemu Pekee Itahakikisha Unapumzika Zanzibar Huku Ukipata Upepo Mwanana wa Bahari 🔥🔥🔥 .
.
Tunafurahi Kwa Kuwa Sehemu ya Mapinduzi ya Burudani Pande za Zanzibar ... Kwa Kuhakikisha Mastaa Wetu Na Crew Nzima ya #WasafiFestival2018 Itakuwa Sehemu Salama Mpaka Siku Tutakayoondoka Zenji

#WasafiFestival2018 #MchezoUsiuchezeeWewe #Kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabisa #WasafiFM #KaaKitaalam #konkikonkikonkimasta

Tunapenda Kuwajulisha Wakazi Wote na Wapenda Burudani Visiwani Zanzibar na Maeneo Jirani Kuwa ... Kuanzia Sasa Unaweza Kuipata @wasafifm Kupitia Code ya Kijanja 88.9 Mhz na Kusikiliza Matangazo Yote Yanayoruka Bila Chenga 24/7

Endelea Kutufuatilia Kwa Kusikiliza Midundo KONKI Inayopigwa na #WasafiDj's Time Hii LIVE Kutoka Mnara wa Mbao na Kesho Kaunzia Saa 8 Mchana Utaweza Kusikiliza Kila Kinachoendelea Kwenye Mapinduzi ya Burudani #WasafiFestival2018 Kutokea Uwanja wa Amani Zanzibar

#HakunaNamna#HawaaminiWanachokiona#SanaaImezaliwaUpya

#WasafiFestival2018#MchezoUsiuchezeeWewe#Kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabisa #WasafiFM#KaaKitaalam #konkikonkikonkimasta

To Be A Success, Love What You Do......#WasafiFestival2018 #Sumbawanga THANKS AGAIN
_
ZANZIBAR TIMU NZIMA ISHAINGIA KWENYE VISIWA HIVI NA TEYARI KWA KUWAPA BURUDANI YA KWELI HAPO KESHO VIWANJA VYA AMANI KARUME KUANZIA SAA 8 MCHANA.

ZANZIBAR LET'S LINK UP
CHAZA BEACH KABLA HATUJAUJAZA
UWANJA KESHO...!!!! MWAMBIE MWENZIO KUWA HII NI YA V.I.P PEKEE
SO UKIJA UJE UMEPENDEZA.....!!!! NA 15000/= THEN KESHO NDIO TUNAKUTANA UWANJA WA AMANI KUSHUHUDIA BALAA.....!!!! THIS IS #WASAFIFESTIVAL2018 🦇🦇

It's Ready Ni Swala La Muda Tu...🎬MOVIE LOADING...🚨🚨🚨 #Paranawe @harmonize_tz X @rayvanny

Huyu Jamaa Hakika Ameweza Kulegea Na Ameweza Kuigeuza Nyimbo Kuwa Yake Hakika Ni "HODARI" :
ASANTE WADAU WOTE AMBAO MMEKUWA MNAZIKUBALI KAZI ZA VIJANA WETU KUTOKA @wcb_wasafi SUPPORT YENU NDIO INAFANYA KAZI ZETU ZINAKUWA PENDWA KWA KILA MTU.
_
ZANZIBAR TAREHE 11 SIKU YA JUMANNE UTAISIKIA LIVE NYIMBO HII #HODARI IKIIMBWA NA @mbosso_ PALE UWANJA WA AMANI ABEID KARUME KWENYE JUKWAA LA #WasafiFestival

ZANZIBAR!!!! ZANZIBAR!!!! Panapo Majaaliwa Kesho Asubuhi Chama Zima la Wana na Wasanii wote wa #WasafiFestival2018 tunatua Kisiwani... Halaf Usiku huo huo wa Kesho tunakuwa na V.I.P POOL PARTY pale CHAZA BEACH CLUB....yani tunagonga @pepsi_tz @officialbelaire huku Tunaogelea..... Kiingilio 15,000 tu, Halaf Jumanne ya Tareh 11 /12 Wote wakubwa kwa watoto Tunakutana UWANJA WA AMANI Kushuhudia Balaa la #WasafiFestival2018
#MchezoUsiuchezeeWewe
#kaaaaaaaaaaaaaaaabisa

Cha Kumshukuru Mungu Wote Wapo Salama Kabisa....ZANZIBAR JUMANNE HII YA TAREHE 11 DECEMBER PALE UWANJA WA AMANI KUANZIA SAA 8 MCHANA.....TUNAIMANI WAZEE WETU WA ZANZIBAR MMESHAIZUIA MVUA NA LOLOTE BAYA🙏
_
#WasafiFestival
#MchezousiUchezee
#Kaaaaaabisa

Most Popular Instagram Hashtags