haroun_tambwe haroun_tambwe

230 posts   5,184 followers   617 followings

◀ TAMBWE ▶  ALLAH 1st. Radio personality▪️ Creative ▪️ Voice Over Artist ▪️ Radio Imager CHOICE FM (CMG). Founder & Ceo : Youth Nation 255.

Ilikuwa njema sana kukutana na Mh kaimu balozi wa Marekani nchini Tanzania Inmi Patterson.
.
.
Tambwe with US Embassy charge d'Affaires Inmi Patterson and Mr Ben Elli, Head of press from US embassy.
.
.
Cc @usembassytz @youthnation255 @usaid

Happy birthday bro @selektah_oxs Maisha marefu,kheri na baraka nakutakia.....Allah aweke wepesi kwenye kila hatua ya haso zako kuelekea mafanikio Inshallah........Enjoy yo day Selekta.............kwenye mabano (AKATWETA)😂😂😂

#SIKU_HIZI
Ndio kipindi pekee vinaibuka vitu visivyo na maana halafu vinapewa nafasi kwenye jamii kuliko vitu muhimu na vya msingi zaidi.. Mifano ni mingi Sana lakini mmoja mkubwa ni huu ambao upo kwenye kila sekunde ya uhai wetu... Naami hayupo asiyetambua kwamba kifo ndio tukio lenye kutisha/kusikitisha/na kuumiza zaidi ulimwenguni.
.
.
Na ndio tukio lenye kudhirisha udhaifu mkubwa wa binadamu hata awe nani Iwe GENIUS/TAJIRI/MASIKINI/ au MREMBO, kiasi gani, kwa sababu kwanza hayupo mtu mwenye uhakika na uwepo wa pumzi yake hata dakika moja ijayo......pamoja na kutojua sekunde,saa,wala siku ila ndio Kwanzaa watu wameibeba Dunia mgongoni Kama vile ndio Mwisho wa Safari.
.
.
Chenye kustaajabisha,
Dunia tuliyobaki nayo niile ya washkaji zako wanapiga picha na wewe ili siku ukitangulia kuzimika wakuposti kuidhihirishia hadhira kuwa ulikuwa ukifahamiana nao , na ndio maana utakuta kuna picha ilipigwa 2010 na haikuwahi kupostiwa lakini mwaka 2018 baada ya jamaa kufariki itatafutwa kokote ilipo na itapostiwa kwa bonge la caption kama kweli vile.
.
.
Tukiachana na hilo kuna mengi yanatokega kwenye maisha yetu ya kila siku ni zaidi ya darasa lenye lengo la kutubadilisha na kutuweka kwenye upande sahihi.
.
Hivi ni Mara ngapi umesikitika kwasababu umepokea taarifa ya msiba na aliyefariki ni kijana mdogo au katoto kadogo hadi unajikuta ukisema "Dah amefariki akiwa mdogo sanaa" ??? .
Mfano ni mtoto wa Munalove (Patrick/Masogange/pancho n,k)
.
.
Sasa jiulize tena Hivi wewe unathamani gani kubwa zaidi ya vijana wenzetu waliofariki kwenye maajali,maradhi,n.k wakiwa na umri mdogo hata zaidi yako....kwanini wao watangulie wewe ubaki??? . .
.
.
Usibabaike kutafuta jibu Rafiki....naomba nikukumbushe kwamba kuna muda tunahaja ya kuangalia picha tu, na tukapata maana halisi ya dhamira ya mchoraji .
Wao kutangulia na wewe kubaki maana yake ni nafasi ya upendeleo umepewa ili kun'gamua na kujiandaa kwa kila mmoja na imani yake kudumisha IBADA,UPENDO,AMANI,na MATENDO MEMA n,k
.
.
DUNIA ITABAKI, MIMI NA WEWE TUNAONDOKA .
Tafakari Wapo wapi wakina
Pancho
Ngwear
Kanumba
Sharo milionea
Kinyambe
YP
Masogange
Bikirawakisukuma
SamWaukweli .
#FikraZangu #I_write_what_i_like #KirohoSafi.

📻

Ongea usikike🎙📢 au kaa Kimya Usidharaulike 😎 #kiberiti

#Mate nipo hewani time hii hapa 102.5 @choicefm_tz.... ,lakini itakuwa poa ukinimbia
Hivi unafahamu nini kuhusu chuma ulete, Je ni kweli hii kitu ipo?

#Mate Ndugu yako wa karibu nipo tayari kukusindikiza popote uendapo, ninakueskoti kwa story na muziki mzuri kwa ajili yako karibu 102.5 @choicefm_tz hadi 3:00 asubuhi

Most Popular Instagram Hashtags