harmonize_tz harmonize_tz

1,800 posts   3,453,960 followers   769 followings

KONDEBOY  East African Young Star πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Signed Under WCB Wasafi Booking: Bookharmonize@yahoo.com #Afrobongo 🎡 #ShowmeWhatYouGot ⬇️

#Bongo2Lagos Nothing but good time πŸ–€ with Kings πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘ @princedullysykes x @official_qchief Γ— @bwanamisosi Γ— @countryboytz

YULE BOY ....!!! MTWARA NANGWANDA SIJAONA #TUKAJAZENANGWANDATENA NA @resolutioninsurancetz BRODA 4 LIFE @countryboytz ANAIKAMILISHA LIST YA MAANGAMIZI KATIKA USIKU WA KIHISTOLIA NIKUTUME UWAJUZE WANAKUSINI WOTE KWAMBA KONDEBOY HAFWATI PESA HUKO ANACHOTAKA YEYE NI NDUGU ZAKE WAFURAHI NA NDIO FURAHA YAKE YA MOYO NA NDIOMANA WASANII WOTE HAWA KIINGILIO NI ELFU 5000/ PALE UWANJA WA NANGWANDA NAZANI HAPATATOSHA ....!!!!! THANKS @resolutioninsurancetz Γ— @dragonenergyint x @riderkingofsound @wasafitv πŸ–€πŸ–€

DADA PEKE USAFINI POTE....!!!! ATADONDOKA MTWARA KATIKA JUKWAA LA #HARMONIGHT KUHAKIKISHA #TUKAJAZENANGWANDATENA INAKAMILIKA WAAMBIE WATOTO WAZURI WOTEEEE WA MTWARA KUWA HII SIO YA KUKOSA ....!!!! @resolutioninsurancetz @dragonenergyint x @riderkingofsound @wasafitv πŸ“£πŸ“£πŸ“£πŸ“£πŸ“£

MTWARA....!!! MTWARA....!!! πŸ“£πŸ“£πŸ“£πŸ“£πŸ“£
TUTAIGEUZA KWA KIPINDI KIFUPI NA KUIFANYA IWE LAGOS 🀣 MANA HAKUNA KITU KILICHOKUWA KINANIUMA KAMA WAKIJAGA WASANI WA NIGERIA WANAISHIGA DAR ES SALAAM PEKE πŸ˜” NIKASEMA HII TABIA ITAFIKA MWISHO NA MWISHOWAKE NDIO HUU....!!! SIKU YA #IDIMOSI PALE NANGWANDA FROM NIGERIA MY BRODA @skiibii @skiibii πŸ–€ LET'S DOU THIS WITH @resolutioninsurancetz @riderkingofsound @dragonenergyint @wasafitv πŸ™ŒπŸ™Œ #TUKAJAZENANGWANDATENA

ALL DAY 🎬🎬 🀫🀫🀫

Kuelekea #harmonightiftar na @resolutioninsurancetz @serenahotels Tarehe 23/05/2019 Ningependa Kutoa kadi za mwaaliko kwa Mashabiki zangu 20 unachotakiwa kufanya ni kuniandika jina lako kamili...!!! @kondegang F.C. Let's goo πŸš€πŸš€πŸš€ Ramadhan Kareem πŸ™

Family fest ...!!! Brand new 🎞🎞 @iamlavalava #Hatuachani Link kwenye bio yake πŸ“£πŸ“£πŸ“£πŸ“£ Bro umeuwa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

SIMBA IN KAHAMA....!!!!!! πŸ’ΈπŸ’ΈπŸ’ΈπŸ’Έβ€ πŸ“£πŸ“£πŸ“£πŸ“£ #WCB4LIFE

TANGAAAAA πŸ“£πŸ“£ your ready know ..!!! @mbosso_ live πŸš€πŸš€πŸš€

SASA HII SIKU ATABAKI NANI...??? MANA #CHUMA ATAKUWA DAR LIVE ALAFU @kondegang WATAKUWA WANA PARTY TABATA ....!!!! SEMA NAWEZA NIKADONDOKA HAPO MJINI DAR LIVE πŸ˜‚πŸ˜‚ OYAAA DAR ES SALAAAM πŸ“£πŸ“£πŸ“£πŸ“£ @rayvanny LIVE #WCB4LIFE

I LOVE YOU BRO ❀ LET'S MAKE HISTORY
@official_qchief πŸ“£πŸ“£πŸ“£πŸ“£πŸ“£πŸ“£ #TUKAIJAZENANGWANDATENA BLESS UP @resolutioninsurancetz x @riderkingofsound Γ— @wasafitv 🎞🎞🎞 MTWARA PATACHIMBIKA

THE NIGHT 2 REMEMBA MY GE @djsevenworldwide DROP DAT πŸ“£πŸ“£ NAKUKUMBUSHA TUU HILI TUKIO LINARUDIWA KIVINGINE.....!!!!! NA LIMEDHAMINIWA NA @resolutioninsurancetz x @riderkingofsound x @wasafitv NAISUBIRI HII SIKU MIMI PAMOJA NA NDUGUZANGU WA MTWARA KUIONYESHA DUNIA KUWA KUSINI HATUNAGA MCHEZOOO....!!! πŸ“£πŸ“£ #TUKAIJAZENANGWANDATENA ❀

Most Popular Instagram Hashtags