gabozigamba1 gabozigamba1

22 kiriman   2,802 pengikut   40 diikuti

gabozigamba 

Kila zao hustawi kaktika Ardhi yake Tende Arabuni zabibu Dodoma #wisewords

Jumaa kareem #maboss

Mjinga ambaye si mwanazuoni ni bora zaidi ya mwanazuoni mjinga
Kwa kuwa mwanazuoni akiwa mjinga hujuzu kuwa mpumbavu.from #Gentlemanvibe @gabozigamba

Habari za jioni jumapili tulivu huku nchi ikitikisika na uhuru mpya Wa sanaa Tanzania. Fuatilia kipindi cha Barazani kwako EATV leo
Jumapili saa 2:50 usiku ili ujue UJIO huu uliotufikia watanzania kutufuta machozi yaliyoletwa na wanyonyaji Wa kazi za sanaa.. Pia follow @barazanitz #ujioumekufikia

Usijisikie vibaya watu wakiwa wanakusema wakati hata hawakujui kwani hata #Mbwa anambwekea mtu asie mjuwa go..go. #GentlemanVibe

Ed mubaarak

Ed mubaarak

Dunia maamuma Ulimwengu Imamu 😷

Ulipendeza kaka mkubwa #Niupendotu

Mtag mjombaake mtu aje aone #Block41 #karibuniUHONDO

Paling Populer Instagram Hashtag