gabozigamba gabozigamba

310 posts   642,007 followers   10 followings

Gabozigamba🇹🇿 🇺🇬🇰🇪  African Actor from Tanzania🎬 Award winning 🏆 Best Actor C.E.O of Bondeni Tv Show 📺 Activist,Dreamer,Man On Mission

Ni kweli unaweza ukawa unamiliki Bunduki lakini Ukatekwa na bar_med! #Inatiaaibu kama sio kusikitisha Nchi ilio tawaliwa na watu wenye vipaji lukuki lakini Hainufaiki navyo #RipKing

11/08/2018
Leo Leo Leo Leo Leo Leo Leo ndio leo..... Utaiona tena filamu yako pendwa ya SUMU kupitia AzamTV. Kama ulikuwa haujaiona basi sasa wakati wako, nakama uliiona basi furahia nasi @gabozigamba na @official_kalembo kwa kuitazama tena na tena! Ebwana SUMU sio ya kuikosa.
Siku ya jumamosi
Saa saba mchana
Saa kumi Jioni
Saa moja usiku
#TunasepaNakijiji

Tanzia..... Nashika kalamu Dotto, huku nikihuzunika,
Ninaomba iwe ndoto, iishe nikizinduka,
Kivumvu hiki kizito, mwenzenu kimenishika,
Majuto wetu Majuto, hatunaye katutoka.

Machozi katika mato, mengi yanitiririka,
Mithili maji ya mto, ule uliofurika,
Si mwepesi ni mzito, msiba ulotufika,
Majuto wetu Majuto, hatunaye katutoka.

Majuto wetu Majuto, leo hii umeuka,
Hii duniya mapito, na kivuko cha kuvuka,
Leo meitika wito, alokuita Rabuka,
Majuto wetu Majuto, hatunaye katutoka.

Tangu tungali watoto, nadhani mnakumbuka,
Msingi hadi kidato, alitufanya kucheka,
Ayi hailiki nguto, hata kama tungataka,
Majuto wetu Majuto, hatunaye katutoka.

Rabbi muepushe moto, kesho asijechomeka,
Awe jirani ya mito, ya uki iso kauka,
Ninaomba Rangimoto, motoni sije muweka,
Majuto wetu Majuto, hatunaye katutoka.

#JumaaMubaarak

Life gois on #nomatterwhat

Kila la kheri kaka @ally_hapi Mungu atamalaki nawe #IringaMpya

Mim nina kimwehumwehu sasa nikikubwipu usiache kubwipika Sawa?😂😂 #Dontworry @tabumtingita Mtag mwenye Shangazi yake aje kumchukuwa.

Hongera zangu kwako zimetukuka najuwa Wajuwa hata ndio wajuzi wanaendelea kukuamini kwa Ujuzi wako,Allah akulinde na kila shari @ally_hapi pamoja daima Upendo milele....

Ukiona hauna Adui hata mmoja elewa kuwa unachokifanya hakipo sahihi #gentlemanvibe

Huu ni muda wako unatakiwa kuwa wewe kwenye vita hii ya wewe kwa wewe kwanza watakucheka pili watakupa mtihani tatu watakubaliana na wewe na nne watakufanya kuwa ni mfano wa kuigwa #usikatetamaa

Most Popular Instagram Hashtags