fundi_tv fundi_tv

53 posts   9,919 followers   0 followings

Fundi Tv  Subscribe channel 👇

S I M B A D A Y
#NaniAnateseka?
With @mkonowamkonole
@kilambaukwaju & #McheleMchele
Shot by @mtata_classic
Kuiona video hii full tembelea @fundi_tv kwa kugusa link iliyopo kwenye bio yangu.
Usisahau#kuSubscribe ili kuwa wakwanza kuona vitu vipya!
#Fundi | #TheLittleFunGuy

N G U R U W E
Tembelea channel ya @fundi_tv
Kuna kitu kikali ntaweka kesho, Gusa link kwenye bio yangu ikupeleke uka #Subscribe ili ukipate kikiwa bado chamoto!
#Fundi | #TheLittleFunGuy

T A N D A B U I
#SpiderMan
Ili uweze kufaidi vingi zaidi tembelea YouTube channel yetu kwa kugusa link iliyopo kwenye bio.
Pia usisahau #kuSubscribe kuwa wa kwanza kuona vitu vipya!
#Fundi | #TheLittleFunGuy

K U K U
#WataniWaJadi
Ili uweze kufaidi vingi zaidi tembelea YouTube channel yetu kwa kugusa link iliyopo kwenye bio.
Pia usisahau #kuSubscribe kuwa wa kwanza kuona vitu vipya!
#Fundi | #TheLittleFunGuy

J E L A (part 3)
#SadiNaSadStory
Tembelea YouTube channel ya @fundi_tv na #uSubscribe ili kuweza kuona vingi zaidi, link ipo kwenye bio!
#Fundi | #TheLittleFunGuy

J E L A (part 2)
#SadiNaSadStory
Itaendelea...
Tembelea YouTube channel ya @fundi_tv na #uSubscribe ili kuweza kuona vingi zaidi, link ipo kwenye bio!
#Fundi | #TheLittleFunGuy

J E L A (part 1)
#SadiNaSadStory
Itaendelea...
Tembelea YouTube channel yetu na #uSubscribe ili kuweza kuona vingi zaidi, link ipo kwenye bio!
#Fundi | #TheLittleFunGuy

P A P A
With @mzee_kubito
Gusa link kwenye bio na #Subscribe sasa!
#Fundi | #TheLittleFunGuy

B W A N A M I K O P O
#NimeachaUsela
Kama hujamuelewa Bwana Mikopo mpaka kufikia hapa itakubidi umsubiri Jesus aje kukuelewesha!
Full Movie ipo YouTube, gusa link kwenye bio yangu ikupeleke ukajionee utamu wote!
Usisahau #KuSubscribe
#Fundi | #TheLittleFunGuy

B W A N A M I K O P O
#NiacheniNaMamaYenu
Kijana aliefanikiwa kijijini anaonyesha jeuri ya pesa na kunyanyasa watu.
Asilimia kubwa ya wanakijiji hawajui alipatwa na nini mpaka anaongea kwa sauti ya mikwaruzo, rafiki wa kijana huyu tajiri anamjua vyema na kuonyesha wazi kutomuunga mkono huku akimuonya kutokana na kutumia sauti hiyo... Kipusa anatokea kumpenda Dada wa rafiki yake na kutaka kumuoa lkn anapewa sharti la kuacha tabia ya unyanyasaji na kuongea sauti ya kawaida....
Je, Kipusa atakubali?
Nenda kajionee filamu nzima ipo YouTube channel yetu ya @fundi_tv
Link kwenye bio, pia usisahau #kuSubscribe
#Fundi | #TheLittleFunGuy

B W A N A M I K O P O
#SioSautiYako

#MkamueniMaziwa
Itapatikana YouTube channel yetu kuanzia kesho #Jumanne so, ni wewe tu na muda wako ktk kuiangalia...
Gusa link kwenye bio ili ikupeleke mpaka kwenye channel #kuSubscribe uwe wakwanza kuiona, pia usiwe mchoyo, Mwambie na mwenzio.
#Fundi | #TheLittleFunGuy

Most Popular Instagram Hashtags