fezakessy fezakessy

13 posts   248995 followers   38 followings

Feza  Manzi Ya " Arusha" Musician Radio Presenter-Choice Fm Watch my New video Walete πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

https://youtu.be/oRa7AAw1HvI

Filter for what? My skin is poppin 😊 cc @andersondikson How's your Monday?

#Repost @cloudsfmtz
Huu ni msimu wa kushukuru, sisi tunatoa #Shukrani.
#Shukrani kwa Watanzania wote wanaotutazama na kutusikiliza. #Shukrani kwa wote wanaoshiriki nasi katika kuwasaidia ndugu zetu wenye matatizo mbalimbali na tutazidi kufanya hivyo.
.
.
Wenye matatizo ni wengi sana, hatuwezi kuwasaidia wote lakini wale wachache tutaoweza hatutaaacha na tunatoa wito kwa Watanzania wote kuendeleza utamaduni wa kusaidiana.

Kesho Inshallah #Clouds360 #PowerBreakfast #AmkaNaChoice #ChoiceFm #CloudsFm Kuanzia saa moja asubuhi πŸ™πŸ½

I love you enough to let you go, your happiness first
#Selfless #ForeverYoung #TGIF

Asanteni wote Kwa mchango wenu, ila bado John anahitaji sanaaa msaada wetu Na Kwa haraka kwasababu hali Ni mbaya.
Info zote za kumchangia ziko kwenye poster hapo. Please please please tunaomba tumrudishie ndugu yetu huyu maisha yake #NarudishaTabasamu @choicefm_tz @teizebest @idrissultan @millardayo @michuziblog @bongofive @jamiiforums @shilawadu @soudybrown endelea ku tag Na wengine guys πŸ™πŸ½

I just love this song, huniangushagi dogo. Check out song mpya ya @youngdaresalama #BBM yessssss πŸ‘ŠπŸ½ #CoolKids #Fresh #BongoBahatiMbayaAisee

I know rich people who are very poor and Poor people who are Rich. Get it??? Kutoa Ni moyo, kuna watu wana uwezo kipesa/tajiri lakini wana roho za kimaskiniii too much 😩

#IneedAhairCutAsap

Unaweza pia kuchangia thru www.wezeshasasa.com

It's very simple. Tune into 102.5 Choice fm kujua zaidi cc @choicefm_tz @idrissultan @teizebest

Naitwa John Nilizaliwa miaka 18 iliyopita, Mama yangu alifariki nikiwa na miaka mitatu baada ya hapa Baba alikuwa na jukumu la kunilea mpaka leo hii nilifanikiwa kumaliza shule ya msingi na nikafaulu shule ya secondary Kawe Ukwamani nilisoma mpaka kidato cha pili nikashindwa kuendelea kwasababu za kiafya na hali ya kiuchumi kuwa mbaya kwetu, Matatizo ya moyo yalinianza wakati nipo kidato cha pili na kadri siku zinavyozidi kwenda hali yangu inabadilika tatizo la moyo limepelekea tumbo langu kujaa maji hivyo nahitajika kufanya upasuaji (Operation) ambao unagharimu 2,895,00 ukijumlisha na gharama zingine jumla nahitajika kuwa na 4,000,000 Baba yangu hana uwezo wa kunilipia fedha hizo kwani kazi anayoifanya ni kuuza magazeti, Naomba watanzania wenzangu mnisaidie ili niweze kupona na kuendelea na masomo yangu kwani nina ndoto ya kuwa msomi mkubwa nchini kwangu na kusaidia watoto wenye matatizo kwenye jamii na kuweza kuwarudishia tabasamu walilopoteza kwa kipindi kirefu kama ambalo nimepoteza mimi kwa wakati huu. #NarudishaTabasamu

Naomba tumrudishie huyu kijana tabasamu please please please
Number Ni:
Tigo: 0711957576
Voda: 0745913850

Paulo Waziri ndiyo jina litakalo tokea. Ni baba yake mzazi John

Happy Mothers Day y'all. #AsanteBiMkubwa #NarudishaTabasamu

Don't look back, your Not going that way.
#TBT #WhenLoveUsedToLoveMe #BeKindToOneAnother #Fall7TimesGetUp8 #2012

follow this page in feedly

Most Popular Instagram Hashtags