elizabethmichaelofficial elizabethmichaelofficial

220 posts   2,995,520 followers   260 followings

Elizabeth Michael  🇹🇿 Tanzania's Award-winning actress | best Eastern Africa Movie

In African Print I Trust....💕💕💕

✨ ✨✨
.
.
.
Damn @sakshed Naweza Fanya Hizi Pics Kitoweo Pasaka Hii!??🙌Shukraaani 🙏

Dear XXL, .
.
. Thank You For Having Me🤗🤗🤗Vibe Kama Lote Aiseeee
.
.
.
Dear Fans Ni Matumaini Yangu Mme Enjoy Na Kuokota Lolote ❤️🤗

Kwa Dhati Kabisa Nakushukuru Wewe Uliyetumia Muda Wako Kunitakia Kheri Katika Kumbukumbu Yangu Ya Kuzaliwa (Jana)
Unaweza Kuhisi Umefanya Kitu Kidogo Au Cha Kawaida Lakini Kwangu Imekuwa Na Maana Kubwa Sana....Umenifanya Nijisikie Special Na Umeifanya Siku Yangu Kuwa Nzuri....Ubarikiwe Mpaka Ushangae🙏❤️
.
.
.
Kingine Sasa...Leo Kuanzia Sa 7 Mchana Nitakuwa Katika Kipindi Cha XXL ya @cloudsfmtz Nakukaribisha Kupiga Story Na Kuuliza Maswali...Kula Kwenu Lakini🙈🙈🙈

Shey na money wey you want oh? (Owa o)
Abi bi o fe ra moto? (Oya o)
Time don come oh, (Oh o) joy don come
(Ayo wa gba lemi o)
Happiness knocking, (Wo le wa)
Prosperity something, (L'on kpe wa)
And blessing calling (Oh o, ayo wa gba lemio💃

Congratulations On Five Successful Years @efmtanzania @efmtanzania
Katika Kipindi Hiki Mmefanya Mengi Makubwa Kwa Jamii Na Taifa Ki Ujumla..!!!
TUNAJIVUNIA NYINYI
.
.
.
BOSS @majizzo Happy 5 Years Of Making Dreams Come True....You’re A Genius And I’m So Proud Of You.....Keep Pushing Because You’re An Inspiration To So Many Of Us....Unatupa Hamasa Ya Kusimama Katika Kile TUNACHOKIPENDA Na KUKIAMINI....Kupitia Wewe Tunajifunza Kuwa Mafanikio HUZALIWI NAYO,HAYARITHISHWI,HAYANUNULIWI Bali YANATAFUTWA Kwa Bidii Ya Mtu Binafsi....Thank You For The Lessons...!🙏
.
.
Baraka Na Mafanikio Viendelee Kuwa Sehemu Ya Maisha Yenu.

Closer..!👼

♠️♠️♠️ .
.
.
Dress : @kenny_the_brand
Lace : @choicefashiontz
MUA : @divaglam_beauty 📸 @petefarasi9

Kwa Mara Nyingine Nikupongeze @monalisatz Na Wote Mliokuwa Nyuma Ya Hizi Tuzo....Mmethubutu Na Mmeweza..!!!
.
.
.
Pongeza Kwa Washiriki Na Zaidi Washindi,Hii Inamaanisha Kile Mnachofanya Hakiendi Bure....Kinatambulika Na Kuthaminika Pia..!!!

Kitu Unachokipa Muda Na Umakini Wako Mwingi Ndio Utakachokipa Nguvu Zako Nyingi Pia😊
.
.
.
Unajua Muda na Umakini Wako Uko Zaidi Kwenye Kitu/Vitu Vya Aina Gani!?
Ni Kitu/Vitu Vyenye Kujenga Au Kubomoa!?
Nguvu Zako Zinatumika Kuzalisha Au Zinapotea!?
STAY POSITIVE ❤️
.
.
#nahikikitumboinabidinikipemudanaumakinimwingilabdakitageuka6packs🙄

Coffee o'clock ☕️☕️☕️

Most Popular Instagram Hashtags