dvjhunter_sniper dvjhunter_sniper

2049 posts   37045 followers   4707 followings

DVJHUNTER  #TEAM BARCELONA #TEAM SIMBA #TEAM MAISHA CLUB #Snapchat; dvjhunter02 #MAISHA DAM

New maisha club dodoma inakuletea Usiku wa SOTOJO mpishi wetu Nancy mahusiano akiwa na team nancymahusiano . Ni jumanne hii kwa mtonyo wa buku saba tu utashuhudia Misambwanda kibao ikisambwandika kwa jukwaa lakimataifa @maishaclub_ dodoma Usiku huu wanawake wataingia buure kabisa bila kusahau kibaomsambwanda kitakuwa live kwenye mashine atasimama @djvjhunter_sniper #dj jela . @dj _k _vee na @ djmontanatz kwenye mic @gillatheboss @ray _ballo @tony _guyzk @budodijoseph _34 @ericeliasmutalemwa @dvjsam _mnyamwezi
imedhaminiwa na @ mturuki collection . Starsmartphone, Dammy classic na Dm house of fashion .... Team Mb. Team kichuna, Team kuchorana watamsupport. @ nancymahusiano ... usikoseee

It's always fascinating rewinding time to the Old golden days.This Saturday we take back to the memory lane with "Throw Back Music "On the Deck its none other than DVJ Hunter the Sniper flanked by DVJ Kev n DVJ Montana on the Side.We on till mama calls you back home. @maishaclub_dodoma cc@dvjhunter_sniper @tony_guyzk @ray_ballo @hkhyper02@josephbudodi_34@djmontanatz@dj_k_vee @rasfmtz @ericeliasmutalemwa @amayzing_berbershop @mturu_kicollection @gillatheboss @gng_beauty_spa @gornaana_ghikas @maishaclubtz

Mabinti ule Usiku wenu wakuvimba umefika kila Alhamisi tunanakutana @maishaclub_dodoma Kukiwasha na majamaaa..Wanawake mnaingia bure na wanaume wanalipia buku 7, 000/= tu. cc@dvjhunter_sniper @tony_guyzk @ray_ballo @princeblackkopa @hkhyper02@josephbudodi_34@djmontanatz@dj_k_vee @nancymahusiano @rasfmtz @ericeliasmutalemwa @amayzing_berbershop @ NancyMahusiano@mturukicollection.

Usiku huu @maishaclub_dodoma katika usiku wa sotojo la mama na mwana kinawaka hivi kama upo mbali jaribu kusogea tukiwashe pamoja cc @hkhyper02 @maisha_basement @gillatheboss

Kama kawa kama dawa jumanne hii Usiku wa Mambo yetu yale yakikubwa zaidi . Usiku wa Sotojo la mama na mwana watu wangu wa dodoma wote jumanne hii tunakutana @maishaclub_dodoma kwenye #maishachizikanajuly wiki hii sotojo linapikwa na Khadija omary Kopa @khadijakopa kutoka KopaBand .Mlangoni utaacha buku 7 tu kwa wanaume na wanawake wataingia buuure kabisa...cc@dvjhunter_sniper @tony_guyzk @princeblackkopa @hkhyper02@josephbudodi_34@djmontanatz@dj_k_vee @nancymahusiano #Team Mb#Team @rasfmtz @amayzing_berbershop Kuchorana #Team @ NancyMahusiano@mturukicollection.

Ingia @wasafinotcom kupakua mzigo mpya wa @snuramushi ft @bellachristian1 #ZUNGUSHA Cc @hkhyper02

Tag ur friends !

R. I. P Brother

💪

#ASLAY KAFANYA MAAJABU @maishaclub_dodoma

Most Popular Instagram Hashtags