dullahplanet dullahplanet

3,278 posts   650,175 followers   83 followings

AmbuA  Radio Presenter/Planet Bongo Hakuna Mkubwa zaidi ya Allah WAZO TV bonyeza link hiiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Regrann from @graysongideon - Kumbe kilichotokea,kulikuwa na mipango cha muda mrefu ya #Jebby(R.i.p) kufanya collabo na Afande Sele lakini ambacho walikuwa hawajapata ni IDEA,waimbe kuhusu nini????
.
ISIVYO BAHATI(wengi tumezoea kusema KWA BAHATI MBAYA) likatokea jambo lililomfanya Afande na Jebby kuingia studio na kutengeneza ngoma ile ambayo hadi leo inaishi..
.
Kisa hicho Afande Sele ametusimulia kipindi hiki ambacho hata yeye anaweza kutumia wimbo huo kumuimbia huyo waliyetunga pamoja...Nimeshakiwekea kisa kizima kama kilivyosimuliwa na Afande sele kwenye #WazoTv.
.
Jebby amezikwa leo Mkoani DODOMA R.I.P swahiba.. - #regrann

Rip bro!!!!!

Naaaam.....πŸ™ŒπŸΎ
@officialabdukibaa

Hongera Sana #Fundiiiiiii @officialabdukibaa
Mambo ya Kheri Yanaenda na Kheri

Anaitwa the Don dada A.k.a Black Rhyno A.k.a Blackchatta Ameangusha BOOMπŸ’₯ La Maangamizi PANDA MNAZIπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’£ Ft Mr T Touch & HardMad produced by Davy machords at Touch sounds kuiona Video pita kwenye Bio ya @blackchatta @blackchatta Cc @betriyonce @mrttouchez @davy_machords @hardmad_kidume_mkush @travellah #support the best πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ plse help to share this Asante sana πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ

Ipo #Wazotv link kwa bio yangu...#Somethingbeyond

Daah kilichotokea leo #HeshimaYaBongoFlava huwezi Kuamini 😳😳😳

Una tawala leo kwenye Mitandao kwa JAMBO LA KHERI @officialalikiba
@chymina hny sijui tuowane tena Rahaaa wallah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Twende zetu ukapata madini haya kama yalikupita yapo #Wazotv muda huu...link ipo kwa bio yangu...
.
Subscribe uzidi kupata madini zaidi na upate taarifa kila inapowekwa mpya..

Most Popular Instagram Hashtags