dokiiwenceslaus dokiiwenceslaus

814 posts   24513 followers   900 followings

Dokii Wenceslaus  MC | Presenter Actress | Singer Signed under Timamu African Media Work at EFM Radio Bookings: 0658266662 Info@timothconrad.info πŸ‘‡Watch my new video

https://youtu.be/K7CiAJ5XAm0

Nataka niwashiikishe jambo ...je mpo tayarii

Yamebaki masaa machache kuelekea jumapili/JUMADILI, mshindi wa BIKO wa milioni 20 lazima apatikane...endelea kununua tiketi zako kuanzia sasa ili kuingia kwenye droo ya kesho. Pia kuna ule ushindi wa papo hapo kuanzia 5,000 hadi 1,000,000.Kuijua nguvu ya BUKU cheza BIKO!!!!
Kucheza BIKO ni rahisi sana;
1. Ingia kwenye Tigo Pesa, Mpesa au Airtel Money.
2. Chagua Lipia bili / Lipa kwa M Pesa
3.Weka namba ya Kampuni ambayo ni 505050.
4.Kisha weka namba ya kumbukumbu 2456 ambayo ni sawa na neno #BIKO
5. Weka kiasi unachotaka kucheza kuanzia tsh 1,000.

Nunua kwa mpigo ili kuongeza nafasi yako ya kushinda
@bikotanzania
#nguvuYabuku
#mshikonjenje

Bwaga moyo moja tukisubiri muda tukinukishe Chuo cha sana Tasuba wasanii tushafika na team nzima ya efm Radio

Usiommbe shabiki aombe kupiga picha na Msaniii utajutaa. Sasa alivyonibana hivi ili akaseme mi nani ake na hiyo ni longtime Longtime jooo Je nikikutana nae sasa si atataka Denda huyuuu.. Venye anaonekana ana Mauuchuuu ...

Morning njema wapenzi... Nimewaombea kwa Good...😘😘😘

Tukutane kesho Hussein Pamba kali twende nzetu mazee tukagulike na Hussein Pamba Kali Tegeta kibo kwa Buku tano tu Unapata Nguo za ukweli ii

Tisha sanaa my Hussein Pamba kali kwa Gulio babu kubwa haijawahi tokeaa Noma sana Nguo ya bei yoyote kesho utapata kwa buku tano tuuu.. ni Hussein Pamba kali min MAll Tengetaaa karibu na Kibo Complex.. kuanzia asubuhii hadi usiku.. Makofi tafadhali kwa Hussein Pamba kaliiiiiiπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ Gulika nasi plz..

Pozi la weekend hilo bt Wallet yenyewe paka wa mjumbe kaibeba..

Achana na michezo ya ajabu ajabu cheza BIKO uone jinsi gani nguvu ya buku inavyoweza kukutajirisha na kubadilisha maisha yako.Tukiwa Bank ya NMB kumkabidhi BW.EDWARD GAMA @edward_gama pesa TSH MILIONI 20 alizojishindia katika droo ya JUMATAMU.
kucheza na kushinda BIKO ni rahisi sana fuata hatua hizi;
1. Ingia kwenye Tigo Pesa, Mpesa au Airtel Money.
2. Chagua Lipia bili
3.Weka namba ya Kampuni ambayo ni 505050.
4.Kisha weka namba ya kumbukumbu 2456 ambayo ni sawa na neno #BIKO
5. Weka kiasi unachotaka kucheza kuanzia tsh 1,000.

Nunua kwa mpigo ili kuongeza nafasi yako ya kushinda.
@bikotanzania @mpokicomedyofficial @hassan.melles
#Mshikonjenje
#NguvuYaBuku

BIKO tunatikisa Tanzania nzima achana na wazushi na usiumize Kichwa kucheza michezo migumu na isiyoeleweka, cheza BIKO ujizolee mshiko kiulaini kabisa kama BW.EDWARD GAMA mkazi wa TABATA mshindi wa MILIONI 20 za JUMATAMU.
@bikotanzania
#NguvuYaBuku
#MshikoNjenNje

Nitakukumbukaa Daima Mileleee wewe ndie Baba yangu mimi Kipenzi...😘😘😘😘

Mmmmh hapa sijawaelewa kabisa nyie madogo😁😁😁😁

Most Popular Instagram Hashtags