dangashamsa dangashamsa

820 posts   2,229 followers   1,052 followings

Shamsa Danga  Tv Presenter, Producer Tunu Tanzania Project Culture Preservation Promotion Founder- Dira Women Organization shamsadangachee@gmail.com

Mratibu Africa wa Tamasha la international Africa Expo Bi Shamsa Danga anawakumbusha wale wote waendaji kwenye Tamasha hilo, sasa ni muda wakufanya appointment ubalozini tayari kwa kuomba visa. 🙏🏿

Kaa tayari kukutana na Yudatadeous aliyepata ulemavu akiwa yupo darasa la tatu, baadae ya kuanguka kwenye mti wa mzambarau.

Ni mtu Mwenye ndoto kubwa ya kua na Chuo chake cha ufundi.

Kwa sasa amewapatia vijana wengi elimu ya ufundi wa Redio, Tv, simu, saa, sabufa na vifaa vingi vya Umeme.

Vitu vyote hivyo ni mwalimu na Fundi wa kuvitengeneza bila kupata elimu iliyo rasm.

Pia ni mtengenezaji na mpigaji wa kinanda pamoja na gitaa, ngoma na aina zote za vitu vya kitamaduni. Hua anatengeneza na kuimba pia.
Anavutiwa sana na utendaji kazi wa Rais wetu Dr J Pombe Magufuli.

Hakika anakipaji cha hali ya juu huyu ni HERO wetu watanzania. Tumuwezeshe afikie malengo yake. Kaa tayari kukutana nae, kipindi chake chote soon.
Hakika kabla hujafa hujaumbika.

Hii ni TUNU TANZANIA @kakamussa
@kaka.mudhihirinjonjolo
@salum_kikeke
@diamondplatnumz
@michuzi
@bbcswahili
@hamisi_kigwangalla
@juliana_shonza
@harrisonmwakyembe
@jembefm
@ngomaafricaband

Maashaallah 💞 Ramadhan kareem

Asante @hildakisokaofficial kwa ujumbe murwa. Ijumaa Kareem

Happy Mather's day iwafikie wa mama.wote Duniani

Haujachelewa bado wakati ni huu, ukiamua unaweza hembu uamue sasa.

Changamkieni Fursa!

German-Africa Expo na Intern.Afrika Festival Tübingen 2019 Ujerumani

Watayarishaji wa maonyesho makubwa ya German-Africa International Expo yanaoambata na Afrika International Festival Tübingen,yatakayofanyika kuanzia 29 Julai mpaka 4 Augosti 2019 katika mjiwa Tübingen,nchini Ujerumani.

Wamefungua milango ya maombi kwa wale wanaotaka kushiriki katika maonyesho hayo.ambapo kutakuwa na maonyesho ya makampuni ya kiafrika na bidhaa zao,maonyesho ya sanaa na utamaduni,na wale wenye makapuni ya shughuli za utalii wote mnakaribishwa kuwahi fursa ,Pia kutakuwa na semina ya wanahabari ambayo hiyo itakuwa ni maalumu kwa wanahabari wa kiafrika.

Msikose kutumia fursa hii adimu ya kushiriki katika maonyesho haya
ya kimataifa ambayo yana faida kubwa kwa wasanii,wanahabari,wanamitindo na makampuni (SMEs) na bidhaa zenu,nufaika kwa kujitangaza kimataifa.

kontakt@afrikafestival, au unaweza kuwasiliana na coordinator kwa east Africa +255(0)787457743(Shamsa Danga)

Dr R. Mengi inna Lilah wa inna illayh rajiun, utakumbukwa kwa mengi kama jinalako. Vijana wajasiliamali kwenye miaka ya 90 nakumbuka uliwapa mitaji kwa vikundi vya watu watano watano na wengine walikua wa soko la Ilala kwenye mitumba.

Na pia ulikua kiungo kikubwa kwa kuwakutanisha walemavu. Tangulia baba Molla akujalie kauli thabit inshaallah.

Poleni sana ndugu, jamaa na marafiki

Iyooooooooooo mawinguniii, chiiiiiiiii ati nini? lamba loloooooooh @pierelikwidi #thamaniyamwanamkenaajirabinafsi2019

- Kila mwanamke anauwezo Mkubwa sana ndani yake. -Kila mwanamke ana jukumu kubwa sana mbele yake. -Kila mwanamke anaweza kubadilisha maisha yake na kuacha alama kubwa sana Duniani.

Je unajua nguvu 6 za ziada alizonazo mwanamke? Ama ulizonazo wewe mwanamke mwenzangu?

Kujua hayo na mengine mengi usiache kufwatilia page hii 💪

Happy birthday lovely boy Allah akujalie afya njema na ufikie malengo yako inshaallah.
Much love ❤💚💛💯👌

Utalii wa ndani wa kupanda mlima Wilayani Masasi tukiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Gelasius Byakanwa.

Utalii wa ndani never give up 💪💪💪

Most Popular Instagram Hashtags