[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

coyotz1 coyotz1

377 posts   22774 followers   1865 followings

Official Coyo  Rapper/Singer/Writer from Tanzania, Under Tetemesha Entertainment.

Ni Ngwea na Fid Q waliimba #TunakeshaKamaCNN.

Sasa pokea habari kwamba ile 100% Local, #Imebutua na sasa tutakesha Leaders , ni bora uwahi tiketi yako mapema kwa sababu sasa zinanunuliwa kwa fujo na kila mtu anasema #Nitakuwepo.
.
.
#MaraPaap : #TigoFiesta2017 ni mpaka majogoo.

Happy Birthday to you brother @kidboytz Mungu akupe maisha marefu yenye kheri hapa sayari ya tatu. Najivunia kua na brother na kiongozi kama wewe najua tumetoka mbali na nnaiman tutafika, Mungu akusimamie kwa kila jambo

Hawa brotherz nawaamin pia nawakubali sana #WEUSI hawajawahi kukosea @gnakowarawara @johmakinitz @nikkwapili #NiCome directed by @hanscana_ link kwenye bio zao

Mpyaaaa kutoka kwenye makaratasi #WANANGU ya @nchamathebest
Produced by #Touchezsound @tony_drizzy & @mrttouchez
#touchsoundmusicgroup link kwenye bio yake

Hongeren sana ndugu zangu, tunasemaga #HiziSioHatuaNiTambo🏃 @billnass kwa degree & @officialnandy kwa tuzo 🙌🙌
#WashkajWanguMtaaWangu

Kheri ya siku ya kuzaliwa dada angu @mamybabytz Mungu akupe miaka kibao yenye kheri hapa sayari ya tatu 🎂
#Miaka900NadhanItapendezaZaidi😂😂
Cc @bdozen @djdommy

#WashkajWanguMtaaWangu
#itakucost link kwenye bio🔥🔥✊💪

@ngasa007 u did it my brother!! #Congratulations #Khalfanwedding
Mungu awatangulie katika kurasa hii mpya ya maisha👏👏👏

Black & White 😯

Most Popular Instagram Hashtags