[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

cliffmastory cliffmastory

2701 posts   51072 followers   328 followings

cliffπŸ’«  πŸ‘‰R.I.P my mom😒 Kama unabiashara yako njoo DM ntakutangazia πŸ‘‰KWA WAGENI STORY ZIPO POST ZA CHINIπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Wanaume wakipenda kitu bhn walianza wasichana wembamba kuwa dili wasichana wanene walikua wana angaika kufanya diet now sas wasichana wenye makalio makubwa ndo dili mbona vigodoro vinakoma
.
.
.nawaza wanaume wakianza kupenda wasichana wenye vichwa vkubwa mbona element zita uzika mpaka bac πŸ˜‚πŸ˜‚

Unajua kilicho mfanya linah anune gafla apo πŸ˜„πŸ˜„ muangalie cheusi mkono alipo ingiza thijui alishika nn apo

#DemiLovato out here showing out hunty!

Mama paula ashukuru alipata msala enzi ya jakaya ingekua ndo enzi izi za anko πŸ˜‚πŸ˜‚ droo ya biko angechezesha segelea nan angetoa M13 kwa hali hii .
.
.ila jaman doctor chein πŸ˜‚πŸ˜‚ jmn anapenda kwenda mahakaman uyo kila kesi za wasanii umkosi ivi ndo inavyo takiwa sio tutafutane kweny raha2

Gigy money kabandika ndala kifuanπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kila nikijalbu kuunganisha vtukio tukio vya amber naona kabisaa T. I. D mnyama yupo sahihi kbs kumkumbusha preyzoo condom 😊😊 tena apo inabid avae condom za mtumba ndo uwaga ni imara

#bosslady akiwatunza watu wasio penda kufanya kazi

1,2,3,4,5 or 6???

Usiombe Ikukukute hiyo upo uko ndan lazma ukaeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jaman jaman sasa hii ni fashion au kitu gan!!πŸ˜‚πŸ˜‚ hata sasa wale wakali wa kuiga igeni na hiiπŸ™ŒπŸ™ŒπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆ

WELCOME TO THE FAMILY #PRINCE_IAN
Hongera sana my c6 @cocy1548 kwa kutuletea jembe!!

Bado sijaelewa kuwa kati ya zari na hamisa nani kamfilisisha kaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au masharti ya waganga πŸ˜‚ maana sio kwa RIPITI hii πŸ˜‚

Most Popular Instagram Hashtags