christinashusho christinashusho

829 posts   217645 followers   172 followings

Christina Shusho  Yote alimaliza

https://youtu.be/BkPGyxOOfF0

Sasa ni jumapili hii, usipitwe. MAHALI ni tabata kisiwani, mandela road shuka kituo cha mwananchi.
MUDA kuanzia saa nane
KIINGILIO bure
Wauzaji wa jumla na Wasambazaji tuwasiliane

Best classic bridle, wako sinza. Wana toa huduma za kupamba ma harusi, utapata nguo kali za bi harusi na sauti za bwana harusi pia na viatu

This Friday, tuungane na wana TAFES KIU katika Mkesha wa kusifu na kuabudu

Siku sasa za hesabika, ni jpili hii.ktk kanisa la pentcost tabata kisiwani nitakua na zindua dvd ya akutendee nini. Karibuni wote.
Kama wewe ni msambazaji muuzaji wa cd/dvd za nyimbo za injili tafadhali tuwasiliane

I Only need two spice, awareness of two things surely "goodness and mercy "shall follow me all the days of my life.
@stevenfurtick thank you sir, i'l soon visit your church, I wanna be your African balozi.
My brothers and sisters chukua hili neno na ulifanye lako, lita kusaidia. Have a wonderful week ahead.

Thank you Jesus

Thank you mr diet kwa kuni komesha, ni mwendo wa majani tu, hakuna namna ingine.

Naye ata kuwepo siku ya tarehe 4 / 6 jpili ijayo kumtukuza Mungu.
Don't miss

Kama huja pata kutizama wimbo huu basi nime kuwekea link kwa bio yangu au nenda youtube uangalie na pia nipe maoni yako.

Jamani hiki ndo chakula nime ambiwa nianze kula ili mwili ukae vizuri na nguo nitakayo vaa kutoka @mariedo-couture.
Asante Yesu kwa wema wako. Tarehe 4 / 6 Siku nane tu zime baki.
#Mwendo wa kula majanga ka mbuzi

Mwalimuuuuuu nakuona.
CONFIRMED mwal Henry Sanga ata kuwepo. Glory be to God
Count down 8 days to go

Pigia kura kipaji hiki @gosbertgoodluck, namwamini, anaweza ku represent well East and Central Africa.
This time groove nipeni kazi ya kua judge tu 😀😀

Most Popular Instagram Hashtags