chefkile chefkile

816 posts   49,226 followers   871 followings

Chefkile BBQ Delicacy ®  - FRIDAY is for deliveies only. - SATURDAY & SUNDAY join us or get it delivered. We take Orders from Monday to Friday. ☎️ 0677454545 or 0782242425

RECIPE SHARED - Chicken Thighs Soup
*
*
*
Kuna mapishi mengi sana ya supu ila leo hapa nakuonyesha jinsi ya kuandaa supu ya kuku kwa kutumia kuku ilokwisha kuchomwa.  Supu hii huwa haichelewi sana maana nyama huwa imeiva yatari. Ni raha sana kama ikiwa utapata kuku ambayo ilichomwa na mkaa, au kuni ili kupata ladha ya moshi moshi .

Supu ya Watu wawili

MAHITAJI

Vipande viinne ya kuku - ( ilokwisha chomwa ikapoa)

Vitunguu maji 2 ( kata pande kubwa kubwa)

Kitunguu swaumu Punje 2 (Twanga)

Chumvi Kiasi upendacho

Pilipili Manga 1/4 kijiko cha chai

Mafuta ya Kula 1 kijiko cha mezani

Karoti 1 - Kata vipande vipande

Pili Pili Hoho - Moja kata upendavyo

Pilipili Kiasi upendacho (Sio lazima)

JINSI YA KUPIKA

Katika chombo unachotaka kutumia kupika. weka vitu vyote kwanza kama vitunguu, hoho, karoti na viungi vingine. kisha weka vipande vya kuku. Ongeza maji hadi kukaribia kufunika kuku ila yasifunike. Funika na weka joto la kati

Chemsha kwa dakika kumi. Baada ya hapo ni tayari kwa kula. 🌋Tag a friend. If more people are tagged I will share more recipes everyday.
#chefkile
#cooking
#soup
#chicken

Proper Beef Rib. Tender n Juicy.
#chefkile
#bbqribs
#barbecue
#love
#cooking
Ijumaa hii tutafanya deliveries on time. Alafu we have our best dish... Chicken Wings usiikose.

Our New Style Beef Ribs.... The taste is different from our smoked ones.
#dry #grill #fire #time

Chicken Wings Platter.
#wings #sweet #sour

Beef Ribs Having its time.
#barbecue #bbq #africa #chefkile #food #meat #people

A salad with - Quick picked onions - Carrots - Sweet corns
- Red Cabbage - Sweet grapes - lemon juice
#salad #onions #grapes #cabbage #carrots #lemon
Weka Order yako kwa siku ya Kesho

Chicken Breast Cream Soup.... #soup #chicken #chefkile #cooking #life 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Tunajiweka sawa kwa our new location.

See the Meat.... Its tender and juicy. Kesho ijumaa tunafanya deliveries mapemaaaa.
Weka order yako sasa. Just call 0782242425 / 0677454545.
🔥 🔥 🔥 |
|
Menu.
1. Platter - (beef, chicken and Sausage)
2. Chicken and Sauceges
3. Beef Ribs Only
4. Beef ribs and Sausages
5. Chicken Wings
6. Mbuzi
All served with fries, naan bread plus salad and sauces.
Delivery cost with will be rated per distance.

#menu #lunch #food #life #barbecue

Enjoying some Beef n Wings
Ijumaa hii tena kwa lunch yako weka order yako kwa kupiga 0677454545 / 0782242425
|
|
|
Deliveries zitafika kwa wakati. Tumerekebisha changamoto

This is ready
#pumpkin #fire

Some Chicken Wings getting better with time.
#wings #bbq #vibes

Most Popular Instagram Hashtags