[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

babutale babutale

4019 posts   1185015 followers   648 followings

Hamisi Taletale  I have Masters in Street management/street smart Snapchat: πŸ‘» babutale

https://youtu.be/C_cp5lJ6VY4

Wasiwasi Ndo Akili Na Kwako Sina......Nyota Njema Alfajili Mchana Uzima......Wanakesha Kulitabiri Pendo Kuchina Baby.....Tena Wengine Wakubwa Wa Mwili Watu Wazima.....Tanga Kunani Vurugu Mechi Mkwakwani....Sambaa Chumbani Yeye Ndo Messi Uwanjani Msiniibia Simba Yanga..... Msitari Gani Unafata Baada Ya Hapa Ebu Malizia Msitari Unaofata Hapo.
#Fire πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ @diamondplatnumz Only On WasafiDotCom Get It Now
@wasafidotcomsoldier
#WasafiDotCom
#WhereTheHitsBelong

Kenya Get Ready For The Great Peace Concert.....Smart Boys From @wcb_wasafi Will Be Rocking At Eldoret Sports Club Yes It's @Harmonize @Richmavoko And BET Award Nominated V-Vanny Boy @Rayvanny On 29 July 2017. Don't Miss Out!!!

Moja kamili Usiku leo @diamondplatnumz atakuaTBC FM na Baba Mzazi @djAroArungu !!!... #MissYou #FIRE

#Penzi_Lenye_Maumivu_Penzi_Lenye_UTulive.... kwa heshima na Taadhima wamekuwekea Link Ya wimbo mpya kwenye Bio ya @Kassimmganga

@Regrann from @diamondplatnumz - Basi kwenye hii wabongo nimewakooooosha!!..dah sjui kwanini waswahili tunapenda sana ngoma za hadithi hususan za kuachana achana πŸ˜ƒ....Number One on Trending! #IMissYou Available on @wasafidotcom and YouTube as well..... #TENZI #UIGIZAJI #MADA - #regrann

Katika sikukuu ya Eid, ndugu zetu wakiislamu wanahamasishwa kusamehe na kusahau tofauti zao na wenzao, kua wenye upendo, unyenyekevu na kua na moyo wa kusaidia wale waliopungukiwa.

Stand Up Shout Out Tanzania inayo furaha kuungana na Umoja Wa Walimu Wa Madrasa Wa Kawe (UWAMAKA) kwenye project ya Feed A Soul Eid Edition na kuandaa chakula pamoja na michezo mbalimbali kwaajili ya watoto zaidi ya 1200 wenye hali duni kutoka Kawe. Tafrija hii itafanyika siku ya Eid (tarehe 27/28 June), katika Uwanja Wa Tanganyika Parkers Grounds.

Ili kufanikisha sikukuu hii unaweza kutusaidia kwa:
1) Kujitolea ili kutusaidia kuendesha siku hiyo
2)Kutoa Mchango wa hali na mali. Unaweza kutuma mchango wako kupitia Account yetu ya Mpesa +255769390463
3)Au Vyote hapo juu

Kwa kujiunga nasi au kwa maelezo zaidi kuhusu event wasiliana na Nancy Mayenga.

Email: nmayenga@gmail.com

IG: nancymayenga

Number: 0687447295 ~ Mwenyezi Mungu atujalie kueneza Upendo, Mafanikio na Amani~

Zama zangu boonge la bishoo tena bishoo haswaaaa. Vijana wangu wanasema ninaonekana kama @talekidsshow πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

FIRE VIDEO FT @Tiwasavage link on @diamondplatnumz BIO FireDTπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Ebwana @bdozen nazani umesikia boss kasemaje ugonge ngoma mpaka zipasukeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mungu tushikie we off to L A @rayvanny @bet_intl #ipickyrayvanny

Kwa siku ya leo sikio pekee alitoshi kuna vingi vya kutega @diamondplatnumz

Hapa nimekutana Dada zangu @8020fashions na @thembonishow wamedata na ukali wa camera ya #galaxys8 pata yako na tembelea kwenye maduka ya @samsungtanzania utambe

Jana nilienda kufuturu na ndugu zangu niliomaliza nao shule ya msingi ila hapa naona mama mwenye nyumba tulimtengaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ebu mtag unaemkumbuka toka Karume primary school

Most Popular Instagram Hashtags